Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Arnold Schwarzenegger kufikishwa Mahakamani

Arnold Schwarzenegger Muigizaji mkongwe kutoka nchini Marekani Arnold Schwarzenegger

Sat, 4 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Muigizaji mkongwe kutoka nchini Marekani Arnold Schwarzenegger anatarajia kufikishwa mahakamani baada ya kumgonga na gari Mwanamama Joanne Flickinger.

Kwa mujibu wa #TMZ inaeleza kuwa wamekutana na kesi hiyo mpya ambapo mwanamama huyo aliyekuwa akiendesha baskeli kudai kuwa mwezi #Februari mwaka huu aligongwa na #Arnold kwa makusudi kwa sababu muigizaji huyo alikuwa akiendesha gari kwa mwendo kasi.

Aidha kufuatia tukio hilo #Flickinger amedai kuwa lilimsababishia majeraha makubwa kwenye mwili wake, licha ya muigizaji huyo kushuka na kutoa msaada.

Kufuatia tukio hilo muigizaji huyo hajatoa tamko lolote mpaka sasa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live