Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Arnold Schwarzenegger kuburuzwa mahakamani

Arnold Schwarzenegger Kuburuzwa Mahakamani Arnold Schwarzenegger kuburuzwa mahakamani

Thu, 16 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Muigizaji mkongwe kutoka nchini #Marekani Arnold Schwarzenegger anatarajia kufikishwa mahakamani baada ya kusababisha ajali ya gari iliyotokea #LosAngeles Januari mwaka jana.

Kwa mujibu wa #TMZ imeeleza kuwa mwanamama #CherylAugustine amefikisha kesi mahakamani kwa lengo la kudai fidia aliyo tumia katika matibabu kutokana na ajili hiyo kumsababishia ulemavu.

#Cheryl alifunguka na kudai kuwa #Arnold alikusudia kumkonga kutokana na uendeshaji wake mbaya.

Hii si mara ya kwanza kwa muigizaji huyo kukutana na kesi za aina hiyo wiki kadhaa zilizopita mwanamama #JoanneFlickinger alifikisha kesi mahakamani baada ya kugongwa na gari na #Arnold mwezi Februari mwaka huu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live