Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Arnold Schwarzenegger: Sikuwa na kipaji cha kuigiza

Arnold Schwarzenegger: Sikuwa Na Kipaji Cha Kuigiza Arnold Schwarzenegger: Sikuwa na kipaji cha kuigiza

Thu, 18 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mkali wa action wa muda wote na Gavana wa zamani wa California huko Marekani amesema hakuwa na kipaji cha kuigiza ingawa alikuwa na wakufunzi wengi akiwemo mwalimu wa sauti, wa lugha ya kingereza na kuigiza hakuonekana kuwa na uwezo wa unaotakiwa kuigiza.

Mkali wa action wa muda wote na Gavana wa zamani wa California huko Marekani amesema hakuwa na kipaji cha kuigiza ingawa alikuwa na wakufunzi wengi akiwemo mwalimu wa sauti, wa lugha ya kingereza na kuigiza hakuonekana kuwa na uwezo wa unaotakiwa kuigiza. Amesema kilichomsaidia ni kwamba muonekano wake na hangaika yake ya kuongea kama roboti ndicho kilichokuwa kigezo muhimu kuigiza katika filamu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live