Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Arnold: Dunia inatengeneza kizazi dhaifu

Arnold Schwarzenegger Muigizaji maarufu duniani, Arnold Schwarzenegger

Mon, 9 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Muigizaji maarufu duniani, Arnold Schwarzenegger amefunguka akiwa kwenye kipindi cha The Howard Stern Show, na kudai kuwa anapata mashaka na kizazi cha sasa kwani jamii inaunda kizazi cha watu dhaifu.

Arnold amesema kuwa jamii ya sasa inaunda kizazi ambacho kinajali zaidi hisia za kuumizwa na kinapenda kulia badala ya kukabiliana na changamoto moja kwa moja.

Muigizaji huyo alionya na kutaka watu wazima kuwafundisha watoto wao uwezo wa kikakamavu wa akili badala ya kulea kizazi chenye watu dhaifu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live