Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Aristote aikataa ndoa ya Uwoya

Aristote Uwoya.jpeg Aristote na Uwoya

Sat, 18 Jun 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Aristote maarufu kama mzee wa vikao amefunguka ukweli wote kuhusu ndoa ya Irene Uwoya, Aristote amesema kwamba ndoa hiyo siyo ya kweli bali kuna kazi (project) ambayo msanii huyo alikuwa akiifanya.

Aristote ameongeza kwa kusema; “Ndoa ya Irene haiwezi kuwa vile, Irene akisema afunge ndoa mji lazima usimame na dunia ijue kwamba Irene Kafunga ndoa...”

Pia, Aristote amesema kwamba ndoa halisi ya Irene Uwoya inakuja na amewataka mashabiki wa staa huyo kusubiri kwani atatangaza kuhusu ndoa hiyo.

Hii imekuja baada ya picha na video iliyosambaa mitandaoni ikimuonyesha msanii huyo wa Bongo Movie akiwa amevalia vazi la harusi, tukio hili liliibua hisia tofauti miongoni mwa mashabiki wa staa huyo wa Bongo Movie huku wengi wakifikiri kwamba staa huyo amefunga ndoa kweli.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live