Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ariana kuja kivingine

Ariana Grande 2024 Ariana Grande

Tue, 9 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya kukaa kimya kwa takribani miaka mitatu bila kuachia wimbo, mwanamuziki kutoka nchini Marekani Ariana Grande ametangaza kuja na ngoma mpya iitwayo ‘Yes Or?’ January 12,2024

Baada ya kukaa kimya kwa takribani miaka mitatu bila kuachia wimbo, mwanamuziki kutoka nchini Marekani Ariana Grande ametangaza kuja na ngoma mpya iitwayo ‘Yes Or?’ January 12,2024 Mwanamuziki huyo mwenye umri wa miaka 30 amewahi kutoa nyimbo kama ‘7Rings’, ‘Position’, ‘Bang bang’, ‘Slide to slide’, ‘Focus’, ‘One last time’, na nyengine nyingi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live