Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ariana Grande aachana na "SB Projects"

Ariana Amtimua SB Project Ariana Grande aachana na

Tue, 22 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki kutoka nchini Marekani Ariana Grande ameachana na management yake ya muda mrefu ‘SB Projects’ inayomilikiwa na Scooter Braun, ambayo amekuwa akifanya nayo kazi tangu mwaka 2013.

Mwanamuziki kutoka nchini Marekani Ariana Grande ameachana na management yake ya muda mrefu ‘SB Projects’ inayomilikiwa na Scooter Braun, ambayo amekuwa akifanya nayo kazi tangu mwaka 2013. Ikumbukwe kuwa mwaka huohuo 2013 baada ya Ariana kuanza kusimamiwa na Scooter alifanikiwa kutoa albam yake ya kwanza iliyoenda kwa jina la “Yours True ambayo hivi karibuni alisherekea maadhimisho ya miaka 10 ya Albam hiyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live