Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Apambana kuweka rekodi ya kutafuna muda mrefu Ulimwenguni

Artise Maame Artise Maame

Sat, 10 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamke mmoja kutoka nchini Ghana aliyefahamika kwa jina la Artise Maame anajaribu kuweka rekodi ya dunia ya Guinness kwa kutafuna Bablishi (Big G) kwa muda mrefu.

Imeripotiwa kuwa Maame anampango wa kuweka rekodi hiyo ya kutafuna kwa muda mrefu ndani ya siku saba, ambapo mpaka kufikia sasa ameshatumia zaidi ya masaa 7.

ArtiseMaame alijiandaa kuweka rekodi hiyo tangu 2023, huku mara ya kwanza alitangaza kutaka kuweka rekodi hiyo ikiwa ni Januari 28 mwaka huu kupitia ukurasa wake wa Instagram.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live