Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Aomba Talaka akidai mumewe mchafu

Women Taking Off Ring Aomba Talaka akidai mumewe mchafu

Sat, 3 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamke mmoja kutoka nchini Uturuki aliyejitambulisha kwa jina la AY ameripotiwa kuomba talaka akidai kuwa mumewe aitwaye #CY hakuwa msafi wa mwili.

AY alifikisha ombi la talaka Mahakamani pamoja na mashaidi ambao walithibitisha kuwa mume wa AY ni mchafu hakuwa akioga wala kupiga mswaki.

Kulingana chombo cha habari kutoka Uturuki cha ‘Sabah’ kilieleza kuwa #Mahakama ya 19 ya Familia ilimkuta na makosa mwanaume huyo ambayo yasingeweza kuvumilika kwenye ndoa ndipo ikabidi AY kupewa talaka yake na fidia ya dola 16,419.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live