Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Aogopwa kisa kufanana na Naira Marley, mama yake afariki kwa Presha (+Video)

Naira Marleys Lookalike Aogopwa kisa kufanana na Naira Marley, mama yake afariki kwa Presha

Tue, 10 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanaume mmoja kutoka nchini Nigeria amedai kuwa amejikuta katika wakati mgumu kutokana na kufanana na mwanamuziki Naira Marley ambaye kwa sasa anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kifo cha MohBad.

Mwanaume huyo amedai kuwa watu wamekuwa wakimuogopa hadi amejikuta akipoteza marafiki na watu wa karibu kwa kuwa na hisia mbaya juu yake kutokana na kufanana na msanii huyo.

Hata hivyo anadai mama yake amefariki dunia kwa pressure kutokana na sms, na simu za vitisho alizokuwa akipata kijana huyo.

View this post on Instagram

A post shared by Mwananchi Scoop (@mwananchiscoop)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live