Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Anjella atangaza kuja na ujio mpya

ANJELLA KUACHIA NGOMA Anjella atangaza kuja na ujio mpya

Thu, 4 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya mrembo Anjella kukaa kimya kwa upande wa kuachia kazi zake binafsi tangu aache kufanya kazi na lebo yake ya zamani Konde Gang hatimaye leo ametangaza kuja na kazi mpya hivi karibuni huku akisisitiza kuwa yuko vizuri kuliko hapo awali.

Anjella ametoa taarifa hiyo kupitia ukurasa wake wa Instagram kwa kuandika;

"Akiinuka kutoka kwenye majivu, amerudi na bora kuliko hapo awali! NewMusic".

Chanzo: www.tanzaniaweb.live