Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Anjella aanza kuingia studio baada ya kuachana na Harmonize

ANJELLA Anjella aanza kuingia studio baada ya kuachana na Harmonize

Tue, 10 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Aliyekuwa msanii wa Lebo ya Konde Gang, Anjella ameanza rasmi kuingia studio baada ya kuachana na lebo hiyo.

Anjella aliiaga rasmi lebo hiyo Januari 2,2023 kupitia ukurasa wake wa Instagram.

Mbali na hivyo, mpaka sasa uongozi wa Lebo ya Konde Gang haujatoa tamko lolote licha ya CEO wa lebo hiyo Harmonize kum-Unfollow katika ukurasa wake wa Instagram.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live