Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Anjella: Napitia changamoto nyingi

Anjella Mks Msanii Anjella

Tue, 30 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki @anjella_tz amefunguka kupitia changamoto kwenye muziki wake lakini bado hajakata tamaa kuupambania kutimiza ndoto zake.

Anjella amekuwa kimya tangu ametoka lebo ya Konde gang amefuta picha zote kwenye Instagram yake na kuanza post mpya kwa kuandika.

"Mziki kwangu mi ulikuaga ndoto na sikuitimiza kwa kulala napitia changamoto nyingi, yote kuukimbia ufukara bado sijakata tamaa".

Chanzo: www.tanzaniaweb.live