Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Anerlisa: Sijui nitapata lini mtoto

Anerlisa BENPOL Anerlisa

Tue, 10 May 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Anerlisa Muigai; ni pisi moja matata kutoka nchini Kenya ambaye anasema kuwa, hajui ni muda gani ambao amepanga kupata mtoto licha ya umri kumtupa mkono.

Anerlisa ambaye ni mtalaka wa staa wa RnB Bongo, Ben Pol ametoa kauli hiyo hivi karibuni wakati huu ambapo amemtambulisha mpenzi wake mpya.

Shabiki wake mmoja alimuuliza Anerlisa; “Unapanga kupata watoto lini kwa sababu unazeeka?”

Naye Anerlisa akamjibu kwa kifupi; “Hata sijui!"

Kama utakumbuka Anerlisa aligonga vichwa vya habari Afrika Mashariki baada ya kuwa katika mahusiano ya kimapenzi na Ben Pol.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live