Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

TV

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Anerlisa: Mwanaume makini hana muda na mitandao ya kijamii

Anerlisa Na Melvin Ben Pol Anerlisa Muigai

Thu, 30 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kauli ya Socialites na Mfanya biashara maarufu Afrika Mashariki, Anerlisa Muigai kuhusu wanaume wenye Instagram, Snapchat na TikTok kwenye simu zao kwa wakati mmoja.

Mwanadada huyo ambaye aliwahi kuolewa na msanii wa Bongo Fleva, Ben Paul amekuwa akiibuka na kauli zinazoibua mijadala kwenye mitandao ya kijamii mara kwa mara.

Anerlisa amesema; "Mwanaume makini hawezi kuwa na mitandao ya Instagram, Snapchat, na Tiktok zote kwa wakati mmoja. Wanaume makini zaidi hawako kwenye mitandao ya kijamii, na kama wako, wengi wao hawaitumii sana mitandao."

Chanzo: www.tanzaniaweb.live