Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Andrew Tate ashinda rufaa

IMG 5433.jpeg Andrew Tate ashinda rufaa

Sun, 20 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamitindo na mfanyabiashara maarufu kutoka nchini Marekani Emory Andrew Tate III ameshinda rufaa ya ‘kesi’ ya ubakaji, biashara ya binadamu na unyanyasaji wa kingono.

Tate anayetuhumiwa kusambaza maudhui yenye maudhui ya upotoshaji na kujipatia wafuasi Milioni 7.5 katika Mtandao wa X (Awali Twitter), amekuwa akidai, waendesha mashtaka hawana ushahidi wowote dhidi yake isipokuwa njama za Kisiasa za kumnyamazisha.

Mwanamitindo huyo ametumikia kifungo cha miezi 10 ikiwa miezi 3 jela na 7 nyumbani huku mali zake zaidi ya Bilioni 40 kuchukuliwa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live