Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Anayetaka kumuoa Shamsa ajipange, mwenyewe adai ni ngumu

Shamsaaa Anayetaka kumuoa Shamsa ajipange, mwenyewe adai ni ngumu

Wed, 7 Sep 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Muigizaji wa sinema za Kibongo, Shamsa Ford amesema anaona kuna ugumu sana yeye kuolewa kutokana na kazi yake.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Shamsa ame-share video usiku wa kuamkia leo na kusema kuwa mwanaume gani atamuoa ikiwa mpaka mishale ya usiku bado yupo lokesheni anaigiza.

"Nitaolewa na Nani mie ambaye anaweza kuielewa kazi yangu…maana hata nipewe kila kitu siwezi kuacha kuigiza sanaa ipo kwenye damu @mbuluzeone,” amesema Shamsa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live