Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Amruhusu mkewe kuchepuka na wanaume wengine

Mia Thrnton, Gordon Thornton Amruhusu mkewe kuchepuka na wanaume wengine

Wed, 11 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Aliyekuwa mume wa mtangazaji kutoka nchini Marekani Mia Thrnton, Gordon Thornton amefunguka na kueleza kuwa aliwahi kumruhusu aliyekuwa mkewe kuchepuka na mwanaume mwingine kwa sababu alijua kuna muda hatoweza kumtimizia haja zake kutokana na umri wake.

Kwa mujibu wa Page Six News inaeleza kuwa Gordon alimruhusu mkewe awe huru kuchepuka nje lakini asifanye kuwa matangazo liwe suala binafsi na asiwahusishe watoto wake na mahusiano yake na wanaume wengine.

Wanandoa hao wameachana September mwaka huu baada ya ndoa yao kudumu kwa miaka 11 wakiwa wamebahatika kupata watoto 2, huku sababu ya kuachana kwa wawili hao ikiwa ni mwanaume huyo kufilisika.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live