Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Ampa mbwa ujauzito na kumuua, aburuzwa mahakamani

Ampa Mimba Ujauzito Na Kumuua Ampa mbwa ujauzito na kumuua, aburuzwa mahakamani

Sat, 23 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamume mmoja huko Jacksonville anayeshutumiwa kwa kumpa ujauzito na kisha kumuua mpwa wake amepatikana na hatia ya mauaji ya daraja la kwanza huko Florida.

Johnathan Quiles, (38), pia alipatikana na hatia ya Ubakaji na mauaji ya mtoto ambaye hajazaliwa baada ya mahakama ya Florida kujadiliana kwa takriban saa moja.

Iyana Sawyer alikuwa na umri wa miaka 16 alipotoweka mwaka wa 2018. Ingawa mwili wake haujawahi kupatikana, baraza la mahakama limehitimisha kuwa Quiles alimuua yeye na mtoto wake ambaye alikuwa tumboni wakati fulani mnamo Desemba mwaka huo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live