Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ampa jina la Paul Walker mwanaye

Ampa Jina La Paul Walker Mwanaye Ampa jina la Paul Walker mwanaye

Wed, 31 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kaka wa Marehemu Paul Walker, Cody Walker yeye na mke wake wameamua kumuenzi Staa huyo wa Filamu aliyefariki katika ajali ya gari Novemba 30, 2013, huko Valencia, Santa Clarita, California, Marekani kwa kumpa jina Mtoto wao wa tatu.

Kaka wa Marehemu Paul Walker, Cody Walker yeye na mke wake wameamua kumuenzi Staa huyo wa Filamu aliyefariki katika ajali ya gari Novemba 30, 2013, huko Valencia, Santa Clarita, California, Marekani kwa kumpa jina Mtoto wao wa tatu. Cody Walker aliripotiwa kuthibitisha kuwa mtoto wake wa tatu wa kiume ataitwa jina la Kaka yake ambalo ni PAUL WALKER kama kuendelea kumuenzi Staa huyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live