Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Amini: Ruge alimiki simu ya laki 2 tu

Ruge Akiwa Na Amini Amini: Ruge alimiki simu ya laki 2 tu

Wed, 20 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Akipiga stori na Maisha Remix, mwanamuziki kutoka chemba ya THT, Amini amefunguka kuwa kitu alichojifunza kwa marehemu Rugeni kuishi maisha ya kawaida.

"Marehemu Ruge alikuwa na uwezo wa kumiliki simu ya mamilioni mengi, lakini alimiliki simu ya laki mbili tu," alisema tofauti na wasanii wake mwenyewe ambao walikuwa wakijishikiza kwenye mitambo ya bei mbaya.

"Watu wanaoishi kwa ajili ya watu wengine, mara nyingi hawajali kuhusu wao wenyewe, na ndo maana watu sampuli ya Ruge Mutahaba ilikuwa ngumu yeye kumiliki vitu vya thamani kubwa, bali aliwafanya watu wake kubwa na thamani kubwa," amesema Amin.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live