Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Amber Rose awamaindi wanaomchukia Trump

Amber Rose X Trump Amber Rose awamaindi wanaomchukia Trump

Tue, 28 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwamamitindo maarufu na aliyewahi kuwa mpenzi wa Rapa Kanye West, Amber Rose kwa mara nyingine ameibuka kumtetetea na kumuunga mkono mwanasisasa mtata aliyewahi kuwa Rais wa Marekani, Donald Trump.

Mwamamitindo maarufu na aliyewahi kuwa mpenzi wa Rapa Kanye West, Amber Rose kwa mara nyingine ameibuka kumtetetea na kumuunga mkono mwanasisasa mtata aliyewahi kuwa Rais wa Marekani, Donald Trump. Wakati weusi wengi wa nchi hiyo wakimuona Donald Trump kama mbaguzi, mwanamitindo huyo aliyewahi kuwa mpenzi wa Rapa Kanye West, anasema baadhi ya wamarekani wamekuwa wakiaminishwa uongo na vyombo vya habari ili kumchukia Trump bila sababu za msingi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live