Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Amber Lulu: Zuchu ana uzuri wa asili

Amber Zuchu Amber Lulu: Zuchu ana uzuri wa asili

Mon, 26 Sep 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii wa muziki ambaye hapo awali alikuwa akihudumu katika Tasnia hio kama Video Vixen, Amber Lulu ameamua kufunguka na kummwagia sifa msanii mwenzake, Zuchu kwa uzuri alio nao.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram (Insta Story), leo Septemba 26, 2022, Amber Lulu amesema kuwa amegunua kitu kuwa; “Zuchu ana uzuri wa asili”.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live