Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Amber Lulu: Natamani kuwa kama Zuchu

AMBER LULU Amber Lulu: Natamani kuwa kama Zuchu

Thu, 26 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii wa Bongo Flava Amber Lulu amesema kuwa anampenda sana Zuchu na anatamani akiwa mkubwa awe kama yeye.

Kupitia insta story yake Amber ameandika;

"Nikiwa mkubwa nataka kuwa kama Zuchu, nampenda huyu msichana jamani uwii",

Chanzo: www.tanzaniaweb.live