Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

‘Alright’ ya Kendrick Lamar ndiyo wimbo bora wa Hip-Hop wa Spotify

Kendrick Lamar Ziara Kendrick Lamar

Tue, 21 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wimbo wa Kendrick Lamar, ‘Alright’ Umetajwa kuwa ndio wimbo bora nambari moja wa Hip-Hop wa Spotify kusikilizwa zaidi nyakati tofauti katika orodha iliyotolewa na mtandao huo ikijumuiaha nyimbo 100 za Hip-Hop.

Katika orodha hiyo, Nyimbo 10 bora zaidi za Hip-Hop kusikilizwa zaidi nyakati tofauti tofauti Spotify ni pamoja na;

1. Kendrick Lamar – “Alright”

2. Cardi B – “Bodak Yellow”

3. Drake – “God’s Plan”

4. Lil Uzi Vert – “XO Tour Llif3”

5. Future – “March Madness”

6. Migos ft. Lil Uzi Vert – “Bad and Boujee”

7. Travis Scott – “SICKO MODE”

8. Sheck Wes – “Mo Bamba”

9. Pop Smoke – “Dior”

10. Juice WRLD – “Lucid Dreams”.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live