Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Aliyevujisha connection ya Uwoya atajwa

UWOYA KITOVU Irene Uwoya

Fri, 5 Aug 2022 Chanzo: Global TV Online

Irene Uwoya; ni staa wa Bongo Movies ambaye naye ameingia kwenye listi ya waathirika wa kusambaa kwa picha na video za utupu (connection).

Sasa; yupo mwamba ambaye anatajwa kwa jina la Alawi Junior ambaye anadaiwa alikuwa mpenzi wa Uwoya kabla ya kuzinguana.

Inasemaka huyo jamaa huyo alikuwa anataka apewe pesa kiasi cha Tsh Milioni 20 na Irene Uwoya ili asivujishe video hizo, lakini baada ya dhamira yake kugonga mwamba ndipo akaamua kuzivujisha.

Chanzo: Global TV Online