Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Aliyetangaza Kufa Aibuka, Aanika Haya!

Rhino Rhino King

Mon, 15 Nov 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii aliyekua akiunda kundi la muziki la #TheMafik ambae alitajwa kufariki dunia kwa ajali ya pikipiki huko mkoani kigoma #RhinoKing, ameibuka na kutangaza ujio wa ngoma yake mpya wiki inayo.

Msanii aliyekua akiunda kundi la muziki la #TheMafik ambae alitajwa kufariki dunia kwa ajali ya pikipiki huko mkoani kigoma #RhinoKing, ameibuka na kutangaza ujio wa ngoma yake mpya wiki inayo. Msanii huyo ambae ametajwa kufanya tukio la kuigiza kifo chake kma sehemu ya kupata kufuatiliwa na watu (kiki) ameibuka upya katika ukurasa wake wa Instagram kwa kuShare matukio mbalimbali, ikiwemo taarifa ya kutoa wimbo mpya wiki inayokuja.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live