Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Aliyesaidiwa na Ruby amgeuzia kibao

Aliyesaidiwa Na Ruby Amgeuzia Kibao Aliyesaidiwa na Ruby amgeuzia kibao

Tue, 13 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Staa wa muziki kutoka Nchini Nigeria Mr Paul ameonesha kushangazwa na ujumbe wa moja ya wanawake aliowahi kuwasaidia ambapo alilipia ili mtoto wake apatiwe damu Hospitali.

Staa wa muziki kutoka Nchini Nigeria Mr Paul ameonesha kushangazwa na ujumbe wa moja ya wanawake aliowahi kuwasaidia ambapo alilipia ili mtoto wake apatiwe damu Hospitali. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Mr Paul ame-share baadhi ya meseji za Mwanamama huyo akimuomba msaada Mwaka 2022 na SMS mpya akimlalamikia huku akimwambia kuwa inabidi akumbuke kuwa kuna siku atafariki na kuacha mali zote Duniani na kumkumbusha kuwa hata yeye mwanzo alikuwa masikini, hii ni kwa sababu Paul hakujibu SMS zake.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live