Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Aliyemuua Rapa Nipsey kukiona gerezani

Aliyemuua Rapa Aliyemuua Rapa Nipsey kukiona gerezani

Wed, 29 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Jaji ameamua tu kumchana ukweli aliyemuua marehemu Rapa NipseyHussle "Eric Holder" kwamba atapitia wakati mgumu sana gerezani.

"Pindi atakapoingia jela basi atawindwa na makundi yote ya wahuni, yani wote wale waliompenda Nipsey Hussle na maisha yake ya gerezani yatakuwa kama kuzimu."

Mwezi Uliopita (Feb 22, 2023) Eric Holder alihukumiwa kifungo cha miaka 60 jela mara baada ya kupatikana na hatia ya kumuua kwa kumpiga risasi Rapa Nipsey Hussle, Machi 31 mwaka 2019.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live