Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Aliyekuwa akishikilia rekodi ya kuwa mzee zaidi afariki dunia

Juan Vicente Perez Mora Aliyekuwa akishikilia rekodi ya kuwa mzee zaidi afariki dunia

Thu, 4 Apr 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanaume mmoja aitwaye Juan Vicente Perez Mora, kutoka nchini #Venezuela ambaye pia alikuwa akishirikiria rekodi ya kuwa mwanamume mzee zaidi duniani amefariki dunia akiwa na miaka 114.

Taarifa ya kifo chake ilitolewa na ‘Guinness World Records’ siku ya jana kupitia mitandano yao ya kijamii, mzee huyo aliingia katika kitabu cha kuvunja rekodi ya dunia mwezi Februari mwaka 2022 akiwa na miaka 112 na siku 253.

Juan Vicente Pérez baba wa watoto 11 katika enzi za uhai wake alitumia maisha yake kulima pamoja na kuwa na ustadi wa kusuluhisha migogoro ya ardhi,

Chanzo: www.tanzaniaweb.live