Menu ›
Burudani
Tue, 6 Dec 2022
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Mwanaume mmoja aliyetambulika kwa jina la James Howard Jackson amehukumiwa Jela miaka 21 baada ya kukutwa na hatia ya kuiba mbwa wa mwanamuziki Lady Gaga kisha kumjeruhi vibaya mfanyakazi anayesimamia mbwa hao.
Mwanaume mmoja aliyetambulika kwa jina la James Howard Jackson amehukumiwa Jela miaka 21 baada ya kukutwa na hatia ya kuiba mbwa wa mwanamuziki Lady Gaga kisha kumjeruhi vibaya mfanyakazi anayesimamia mbwa hao. James Howard Jackson na wenzake wawili walitekeleza tukio hilo mnamo February 24, 2021.
Chanzo: www.tanzaniaweb.live