Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Alikiba na kuja bidhaa za Energy Drink?

Mon, 26 Feb 2018 Chanzo: bongo5.com

Mashabiki wamekuwa na shauku ya kutaka kujua iwapo kuna bidhaa za Energy Drink zinakuja kutoka kwa Alikiba.



Hii ni kutokana na kuwepo kwa video mtandaoni ikionyesha vinywaji vikitengezwa vyenye jina la msaniiĀ  huyo. Hata hivyo bado hakuna taarifa rasmi kutoka kwa msanii huyo kueleza ukweli wa suala hilo.

Hivi karibuni Alikiba alionyesha bidhaa zake za kofia zenye logo ya King Kiba ambazo pia inaelezwa kuwa ziko mbioni kutoka. Kwa sasa muimbaji huyo nchini Afrika Kusini pamoja na Ommy Dimpoz na meneja wake, Seven Mosha.

Chanzo: bongo5.com