Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Alikiba mwendo wa Bampa to Bampa

Am Msani wa Bongoflavour Alikiba

Thu, 19 Aug 2021 Chanzo: eatv.tv

Muendelezo wa Bampa to bampa kutoka kwa Alikiba bado unaendela mpaka atakapoachia Album yake mpya ambayo ameahidi kuitoa mwishoni mwa mwezi huu wa 8, 2021.

Siku hii ya leo Alikiba ametusanua kwamba ataichia remix ya wimbo wa songi songi aliyoifanya na Maud Elka ft Hiro, ambao unafanya vizuri hivi sasa Bongo.

Kupitia akaunti yake ya Twitter Alikiba ameandika kuwa "Here we go, this friday songi songi remix Elka Maud ft King" 

Mpaka sasa Alikiba ameshaachia ngoma kadhaa kama Ndombolo, Saluti, na Jealous.  

Chanzo: eatv.tv