Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Alikiba kafunguka vijembe alivyoimba kwenye wimbo wake mpya

737E2873 2EF8 4C40 8DCC 7DF9E82552C7.jpeg Alikiba kafunguka vijembe alivyoimba kwenye wimbo wake mpya

Fri, 25 Sep 2020 Chanzo: millardayo.com

Mwimbaji wa Bongofleva Alikiba leo amekaa kwenye Interview na XXL ya Clouds FM na kutambulisha ngoma yake mpya ya ‘mediocre’

Aliongelea pia kiti cha ufalme na kusema “King huwa ni mmoja tu na hakuna wa kuchukua nafasi yake mpaka afe, kila kitu nilichoimba kwenye mediocre kina maana yake, kila mtu amejibrand na watu wamempokea vile walivyompokea, sio kila mtu anaweza kuwa King”

“Idea ya mediocre ilikuja kwenye mizuka ya studio, ilipigwa beat nikaona ngoja nijaribu kurap, na wakati huu kumekuwa na mambo mengi ambayo to me, naona they are so Mediocre” – Alikiba

Bonyeza PLAY hapa chini kumsikia akifunguka zaidi.

Chanzo: millardayo.com