Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Alikiba kaachia video mpya goma linaitwa "mediocre"

Screenshot 2020 09 24 At 16.15.35 660x400.png Alikiba kaachia video mpya goma linaitwa "mediocre"

Fri, 25 Sep 2020 Chanzo: millardayo.com

Mwimbaji wa Bongofleva Alikiba ameendelea kutetea kiti chake cha ufalme leo kwa kuachia video ya goma jipya linaitwa ‘mediocre’ ambapo muda mfupi kabla ya kuachia video amesema “King huwa ni mmoja tu na hakuna wa kuchukua nafasi yake mpaka afe, kila kitu nilichoimba kwenye mediocre kina maana yake” bonyeza play hapa chini kuitazama.

Mwimbaji wa Bongofleva Alikiba ameendelea kutetea kiti chake cha ufalme leo kwa kuachia video ya goma jipya linaitwa ‘mediocre’ ambapo muda mfupi kabla ya kuachia video amesema “King huwa ni mmoja tu na hakuna wa kuchukua nafasi yake mpaka afe, kila kitu nilichoimba kwenye mediocre kina maana yake” bonyeza play hapa chini kuitazama. BELLA KAFUNGUKA MIJENGO MIWILI YA THAMANI ALIYOIJENGA, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUITAZAMA

Chanzo: millardayo.com