Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Alikiba aweka wazi kuhusu ujio wa albamu yake

8383 16906856 1822214474721420 6467752781024329728 N TZW

Mon, 28 May 2018 Chanzo: bongo5.com

Msanii Alikiba amefunguka kuhusu mipango ya kutoa Albamu.



Muimbaji huyo ambaye anafanya vizuri na ngoma ‘Mvumo wa Radi’ ameiambia ITV kuwa kuna uwekano wa albamu kutoka mwaka huu na tayari maandalizi yameshafanyika.

“Albamu naweza nikaachia mwaka huu nipo katika kumalizia japokuwa tayari nipo na nyimbo ila nataka kila kitu kitoke kikiwa perfect,” amesema Alikiba.

Ameongeza kuwa albamu hiyo itauzwa kwa njia ya online na kawaida, yaani hard copy.

Utakumbuka kuwa wasanii wa Bongo Flava waliotoa albamu hivi karibuni ni pamoja na Vanessa Mdee, Diamond, Wakazi na Chin Bees.

Loading...
Chanzo: bongo5.com