Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Alikiba aitikisa Kigali, Ajaza uwanja wa mpira (Picha+Video)

932 DSfQTAVWAAI3NOk TZW

Tue, 2 Jan 2018 Chanzo: bongo5.com

Msanii wa Bongo Fleva, Alikiba jana Januari 01, 2018 amelitikisa jiji la Kigali nchini Rwanda kwa kufanya show kali ya kufungulia mwaka.

Tamasha hilo la East African Party 10 ambalo lilifanyika katika Uwanja wa Taifa wa mpira wa miguu wa Rwanda maarufu kama Amahoro, Alikiba alijaza watu kwenye uwanja huo.

Alikiba alitumbuiza nyimbo zake karibia zote za zamani ikiwemo Mac Muga, Cinderella, Nakshi Mrembo na nyimbo nyingine kali. Tazama picha na video za tukio hilo (Video by IGIHE TV)

 

Chanzo: bongo5.com