Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Alikiba: Situmii pombe wala nyama nyekundu

Alikiba Hnnnn Alikiba: Situmii pombe wala nyama nyekundu

Wed, 29 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Leo Novemba 29, ni kumbukizi ya siku ya kuzaliwa kwa Mfalme wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba maarufu kama Alikiba ambaye anatimiza umri wa miaka 37.

Katika kusheherehekea Birthday yake Alikiba ame-share na mashabiki zake vitu ambavyo hawavifahamu kuhusu yeye ambavyo vinamfanya aonekane kijana kadri siku zinavyokwenda

Kwa mujibu wa Alikiba ambaye yupo kwenye game ya muziki tangu mwaka 2006, anasema kuwa hali nyama nyekundu lakini pia hatumii pombe.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live