Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Alikiba: Sina tatizo Diamond kufanya ngoma na Abdul

ALIKIBA ORODHA Alikiba: Sina tatizo Diamond kufanya ngoma na Abdul

Sat, 12 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mkongwe kwenye gemu Alikiba amesema hana tatizo na ishu ya mdogo wake Abdul kufanya kazi na hasimu wake, Diamond Platnumz.

Kiba ameyasema hayo usiku wa kuamkia leo Agosti 12, 2023 kwenye usiku maalum wa msanii Nady na waandishi wa habari kumbana kwa maswali kadhaa ikiwemo ishu hiyp ya mdogo wake kushirikiana na Diamond.

"Sina tatizo wafanye, Abdul ni msanii wa Kings, Diamond ni msanii wa Wasafi hivyo wanaweza wakafanya sina tatizo," alisema Kiba.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live