Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Alikiba: Nimefungua radio kulinda utamaduni

Alikiba 79d0.png Alikiba.

Mon, 11 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii wa Bongo Fleva, Alikiba amekiri moja ya sababu kubwa iliyomfanya kuingia kwenye tasnia ya habari au kumiliki kituo cha habari ni kulinda utamafuni wa Kitanzania kwa kuwa kituo chake cha 'CROWN FM' kitasimama kulinda utamaduni wetu.

"Nimefungua kituo hiki cha redio kulinda Utamaduni wa Kitanzania maana Crown FM 'Hapa ni nyumbani'" amesema Alikiba.

Alikiba amefunguka hayo wakati akifanya mahojiano mafupi na Mtangazaji Skyworker kwenye miaka 20 ya muziki wa Alikiba.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live