Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Aliezikwa hai siku saba afanya tukio jingine

Mr Beast Rising Muandaaji maudhui ya YouTube, Mr Beast

Mon, 1 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya muandaaji maudhui ya YouTube Mr Beast kufanikisha kuzikwa hai ndani ya siku saba kwenye kaburi lenye matundu ya kupitisha hewa, sasa mkali huyo amefanya tukio jingine la kukaa siku saba kwenye chumba cha pekeyake.

Baada ya muandaaji maudhui ya YouTube Mr Beast kufanikisha kuzikwa hai ndani ya siku saba kwenye kaburi lenye matundu ya kupitisha hewa, sasa mkali huyo amefanya tukio jingine la kukaa siku saba kwenye chumba cha pekeyake. Mr Beast sasa amekaa katika chumba kilichotengenezwa kwa rangi nyeupe tu na kisichopitisha sauti yoyote huku akiwa amevalia mavazi yanye rangi ya orange. Na hadi kufikia sasa video iliyokuwa ikumuonesha akiwa live kwenye chumba hichi imefikisha watazamaji 53 Milioni kwenye mtandao wa YouTube.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live