Lifestyle

Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

SIL

Alietaka kuvunja rekodi ya Dunia asimama kwa Saa nne tu

Simamaaa.png Alietaka kuvunja rekodi ya Dunia asimama kwa Saa nne tu

Wed, 17 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanaume mmoja kutoka nchini Ghana, aitwaye Patrick Amenuvor ameshindwa kuvunja rekodi ya dunia (Guinness World Record) ya kusimama muda mrefu zaidi.

Amenuvor alianza kusimama Januari 14 kwa lengo la kuvunja rekodi, lakini aliweza kudumu kwa saa 4 tu tangu aanze zoezi hilo, ambalo alilenga lifanyike kwa siku saba.

Mwanaume huyo baada ya kushindwa amedai kuwa alikiuka sheria ya challenge hiyo bila kukusudia.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live