Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Aliefunga safari kumfata Davido agoma kurudi kwao, aambiwa atume akaunti

Davido Fan Aliefunga safari kumfata Davido agoma kurudi kwao, aambiwa atume akaunti

Fri, 11 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya staa wa Afrobeat, Davido kumtaka kijana Emmiwuks kurudi kwao Benue baada ya kusafiri kwa siku nane akitumia baiskeli kwenda Lagos kuonana naye, kijana huyo amegoma na kusema lengo lake ni kumpelekea zawadi.

Baada ya staa wa Afrobeat, Davido kumtaka kijana Emmiwuks kurudi kwao Benue baada ya kusafiri kwa siku nane akitumia baiskeli kwenda Lagos kuonana naye, kijana huyo amegoma na kusema lengo lake ni kumpelekea zawadi. Davido imebidi amjibu kwa kumtaka atume akaunti namba yake ili aweze kumtumia fedha zitakazomuwezesha kurudi tena kuonana na Davido pindi akirudi Lagos, Nigeria.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live