Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Alicia Keys tuzo kama zote

Grammy Rewind Hero (1) Alicia Keys

Tue, 28 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki kutoka Marekani Alicia Keys, akionesha chumba maalumu ambacho ametunza tuzo zake mbalimbali alizopata kutokana na kazi yake ya muziki.

Keys alianza kujihusisha na kutunga nyimbo akiwa na umri wa miaka 12 na alisainiwa na lebo ya ‘Columbia Records’ akiwa na umri wa miaka 15.

Mpaka kufikia sasa #AliciaKeys anaripotiwa kuwa na tuzo 16 za Grammy na kumfanya kuwa msanii wa nne wa kike kumiliki tuzo nyingi, pia ana tuzo tisa za Muziki za Billboard, nne za MTV VMA, tatu za MTV EMA, Tuzo 18 za #NAACP na Tuzo 11 za Soul Train Music.

Keys amekuwa akitamba na ngoma zake kama ‘Girl on Fire’, ‘Try Sleeping with a Broken Hear’, ‘Karma’, ‘Superwoman’ na nyinginezo.

View this post on Instagram

A post shared by Mwananchi Scoop (@mwananchiscoop)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live