Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Alichozungumza Diamond Platnumz baada ya Kesi yake na Hamisa (video)

2848 Dia12 660x400

Fri, 9 Feb 2018 Chanzo: millardayo.com

Leo February 8, 2018 Nyota wa muziki, Diamond Platnumz na mwanamitindo Hamisa Mobetto wamefika katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa ajili ya usuluhishi kuhusu matunzo ya mtoto wao.

Hatua ya Diamond na Mobetto kufika Mahakamani inatokana na Mobetto kufungua shauri kuhusu matunzo ya mtoto aliyezaa na Diamond.

Awali Mahakama hiyo ilitupilia mbali shauri hilo baada ya Diamond kuwasilisha pingamizi dhidi ya kesi hiyo kuwa imefunguliwa kwa kutumia kifungu ambacho si sahihi.

BREAKING: DIAMOND PLATNUMZ ALIVYOFIKA MAHAKAMANI KISUTU LEO

Chanzo: millardayo.com