Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Alichosema Diamond Platnumz baada ya kumsaini ‘Mbosso’ WCB (+video)

Mon, 29 Jan 2018 Chanzo: bongo5.com

Msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz amefunguka kwa mara ya kwanza kuwa siri kubwa ya mafanikio ya WCB kuendelea kuimarika na kuongeza idadi ya wasanii ni kutokana na nguvu na sapoti kutoka kwa mashabiki na sio kwamba kuna akili nyingi zinazotumika kufikia malengo.

Diamond Platnumz na Mbosso

Diamond Platnumz amesema hayo leo Jumapili wakati akimtambulisha msanii mpya wa WCB ‘Mbosso’ ambaye zamani alikuwa kwenye kundi la Yamoto Band. Tazama video hapa chini Diamond akifunguka

Chanzo: bongo5.com