Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Alichokisema Shilole kuhusu kuongezewa mke wa pili

35520 PIC+SHILOLE Alichokisema Shilole kuhusu kuongezewa mke wa pili

Thu, 18 Jun 2020 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii na mfanyabiashara Shilole amesema haitaweza kutokea mumewe Uchebe kuamua kuongeza mke wa pili hata kama dini inaruhusu kuongeza mke mwingine, na akimfanyia hivyo labda aachane naye kisha aoe huyo mwingine.

Msanii na mfanyabiashara Shilole amesema haitaweza kutokea mumewe Uchebe kuamua kuongeza mke wa pili hata kama dini inaruhusu kuongeza mke mwingine, na akimfanyia hivyo labda aachane naye kisha aoe huyo mwingine. Akipiga stori na EATV & EA Radio Digital Shilole amesema, "Nina furaha ndani ya ndoa yangu, ninajiamini na sina mambo mengi ndiyo maana najivunia kuwa na mume wangu, ni ngumu kuongezewa mke wa pili kwa kweli la sivyo aniache mimi aoe mwanamke mwingine hata kama dini inaruhusu ila mimi sitakubali"

Chanzo: www.tanzaniaweb.live