Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Alice: Marioo kanilipa Milioni 10 kushuti video yake

Alice Vixen Alice: Marioo kanilipa Milioni 10 kushuti video yake

Wed, 14 Sep 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Video Vixen Alice Absay amesema licha ya kwamba hakuwa akiipenda kazi hiyo lakini alilipwa shilingi Milioni 10 na Marioo katika wimbo wa Dear Ex.

Alice alifunguka hayo alipokuwa akifanya mahojiano na Diva The Bawse katika kipindi chake cha Lavidavi ambapo alisema fedha hizo alilipwa na uongozi wa msanii huyo.

“Marioo mwenyewe alishtuka aliponiona kwa mara ya kwanza alisema wewe upo Bongo kweli? Unaishi hapa?” alisema Alice.

Alice alisema kwenye dili hilo alishuti kama scene nne tu ambazo ndizo zilifanya nilipwe fedha hizo kwa cash.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live