Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

AliKiba amsapoti Prof Jay Mil. 5

AliKiba Amsapoti Prof Jay Mil. 5 AliKiba amsapoti Prof Jay Mil. 5

Mon, 11 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

CEO wa Kings Music Records Alikiba ameahidi kuchangia Tsh milioni tano kupeleka tabasamu kwa wagonjwa wa figo nchini.

CEO wa Kings Music Records Alikiba ameahidi kuchangia Tsh milioni tano kupeleka tabasamu kwa wagonjwa wa figo nchini. Kiba ametoa ahadi hiyo jana Desemba 10, 2023 kwenye uzinduzi wa taasisi ya Prof Jay inayoitwa Professor Jay Foundation.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live