Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Ali Kiba ataja sababu za kutowashwa Crown FM

Alikiba 79d0.png Ali Kiba ataja sababu za kutowashwa Crown FM

Mon, 25 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bosi wa Crown Media Ali Kiba amefunguka sababu za kutowashwa kwa mitambo ya Redio yake CrownFm licha ya kutambulishwa wiki kadhaa sasa.

Bosi wa Crown Media Ali Kiba amefunguka sababu za kutowashwa kwa mitambo ya Redio yake CrownFm licha ya kutambulishwa wiki kadhaa sasa. Alikiba amesema kuwa kuna surprise ameiandaa kwa wasikilizaji wa Redio hiyo hivyo watu wakae mkao wa kula.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live